Kobe Bryant aaga dunia
Bryant alikuwa mchezaji wa kwanza mpira wa kikapu nchini Marekani kutunukiwa tuzo ya filamu ya Academy Award mwaka 2018 kwa filamu fupi ya michoro iitwayo “Dear Basketball”.
Jana, Leo na Kesho
Bryant alikuwa mchezaji wa kwanza mpira wa kikapu nchini Marekani kutunukiwa tuzo ya filamu ya Academy Award mwaka 2018 kwa filamu fupi ya michoro iitwayo “Dear Basketball”.
Tottenham jana Septemba mosi imetoka sare ya 2-2 na Arsenal na hatimaye kuporomoka mpaka nafasi ya 9 katika msimamo wa EPL.
Hatimae Virgil van Dijk awabwaga Lionel Messi na Cristiano Ronaldo. Enzi za Cristiano Ronaldo na Lionel Messi za kutawala tuzo za mpira zinaendelea kusukumwa ukingoni.
Uefa leo Alhamisi inatarajiwa kumtangaza mchezaji bora wa mwaka wa soka Barani Ulaya .
Inter Milan imekubali mkataba wa mkopo kwa uhamisho wa mchezaji wa kiungo wa mbele Alexis Sanchez kutoka Manchester United.
Ombi la Barcelona la kumnunua kwa mkopo wa dau la £137m pamoja na kumpatia kandarasi ya kudumu mshambuliaji wa Brazil Neymar, 27, limekataliwa na PSG huku mabingwa hao wa ligue … Continue Reading PSG yakataa kumtoa Neymar kwa mkopo
Alexis Sanchez anakataa kuondoka Manchester United msimu huu, pamoja na kwamba kocha Ole Gunnar Solskjaer kutishia kumfanya kuwa mchezaji wa akiba ikiwa atasalia na timu hiyo. Roma inatafuta wachezaji wengine. … Continue Reading Alexis Sanchez asalia Man U hata baada ya vitisho vya kuwekwa mchezaji wa akiba