Uwezekano wa Real Madrid kumsajili kiungo wa kati wa Manchester United Mfaransa Paul Pogba, 26, utategemea kuondoka kwa mshambuliaji wa kimataifa wa Wales Gareth Bale, 30, kuondoka klabu hiyo ya … Continue Reading Bale, Pogba, Lo Celso, Sessegnon, Alderweireld, Rose, Rodriguez, Messi
Herve Renard anajiuzulu kama kocha mkuu wa Morocco baada ya timu hiyo kutolewa mapema katika mashindani ya kombe la mataifa ya Afrika.
Nililazimika kujipa muda wa takribani dakika kumi kuitafakari picha inayotembea mitandaoni ikiwaonesha watoto wanaopakwa hina kama kiashirio cha jambo kubwa na la kipekee mbele yao, lakini baada ya kujipa muda … Continue Reading Sikukuu ya Kizanzibari na Hina: Picha Moja, Maneno Alfu Moja
England imekuwa nchi ya kwanza kuwa na timu nne kwenye fainali mbili za mashindano ya Ulaya katika msimu mmoja baada ya Chelsea na Arsenal kutinga katika fainali ya Europa League … Continue Reading England yatoa timu nne Europa League na Champions League
Maafisa wa upelelezi wa Venezuela wamemkamata kiongozi wa ngazi ya juu wa bunge linalotawaliwa na upinzani, Edgar Zambrano, ikiwa ni hatua ya hivi karibuni dhidi ya wabunge walioamua kujiunga na … Continue Reading Naibu Spika Venezuela akamatwa