Maafisa wa Paris St-Germain na Barcelona walikutana kwa mara ya kwanza kujadili kuhusu uhamisho wa mshambuliaji wa PSG Neymar, 27, lakini hakuna makubaliano yaliyofikiwa baada ya mazungumzo ya saa tatu. … Continue Reading Barca wanajiandaa kutoa ofa ya kitita cha pauni pamoja na wachezaji wake wawili kwa PSG kumnasa Neymar
Manchester United huenda ikalazimika kulipa Leicester City £80m kumnunua mlinzi wake Harry Maguire baada ya Eric Bailly kuumia goti katika mechi ya kirafiki dhidi ya Tottenham. (Mirror)
Mwanamuziki wa Rap na milionea wa Marekani ni amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii hivi karibuni miongoni mwa Wanyarwanda, wakidai ana asili ya Rwanda.
Pep Guardiola amesema kuwa anamtaka Leroy Sane kusalia Manchester City lakini amekiri kwamba uamuzi huo hauko mikononi mwake.
Usajili wa Antoine Griezmann kwenda Barcelona unaweza kuzuiwa kutokana na mzozo wa malipo.
Dirisha la uhamisho linakaribi lakini bado kuna uhamisho mkubwa unaotarajiwa kufanyika .Kwa baadhi imekuwa kama kizungumkuti. Atakwenda? au Atasalia?