Kwa dhati kabisa, simuoni mgombea wa akina Polepole kuwa na uwezo wa kukabili changamoto hizo. Ndio maana inabidi kurudi kwa Polepole kumuomba awajibu Wazanzibari masuala ya msingi. Maana yeye anayejinadi kuwa ataleta maendeleo ndiye kikwazo cha mwanzo cha mgombea wao.
Waafrika na Waarabu: “Sisi Wazuri, nyinyi Waovu” au “Sisi Wazuri, na nyinyi Wazuri?” Wengi tumeshuhudia katika mitandao tarehe 16 Oktoba, 2019, vinyago vya kustaajabisha sana kwa mtu yoyote ambaye anao … Continue Reading Taswira ya Upotoshaji Kwenye Mahusiano ya Waafrika na Waarabu
Je unajua kwamba baadhi ya viungo vya maiti vinaweza kuwa msaada katika matibabu ya wagonjwa wengine walio hai?
Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe amefariki dunia akiwa na miaka 95 nchini Singapore akipokea matibabu kwa muda mrefu.
Zaidi ya watu 100 jijini Dar es Salaam wameandamana mpaka ubalozi wa Afrika Kusini wakishinikiza kuachiwa kwa ndege ya Air Tanzania inayozuiliwa jijini Johannesburg.
Majeruhi 13 wa ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro nchini Tanzania kufuatia kulipuka kwa gari la mafuta, wanaendelea na matibabu katika hospital ya Taifa Muhimbili na wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa … Continue Reading Madaktari wapambania afya za majruhi wa ajali ya Morogoro
Serikali ya Tanzania imeagiza wakimbizi kutoka nchini Burundi kurudishwa makwao, na kusema kua hali ya kiusalama katika taifa hilo sasa imeimarika.