Ni kupi kuyalinda mapinduzi?
Ufuatao ni mjadala kati ya Wazanzibari watatu – Balozi Ali Karume, Bwana Salim Msom na Wakili Awadh Ali Said – juu ya mada tete ya kuyalinda mapinduzi ya Zanzibar ya … Continue Reading Ni kupi kuyalinda mapinduzi?
Jana, Leo na Kesho
Ufuatao ni mjadala kati ya Wazanzibari watatu – Balozi Ali Karume, Bwana Salim Msom na Wakili Awadh Ali Said – juu ya mada tete ya kuyalinda mapinduzi ya Zanzibar ya … Continue Reading Ni kupi kuyalinda mapinduzi?
Leo ukienda visiwa vya Zanzibar utashuhudia maghorofa kuanzia Unguja mpaka Pemba, mijini mpaka mashakani, maghorofa hayo yote naambiwa yalijengwa na Hayati Mzee Abeid Karume! Mzee Karume alijenga maghorofa haya kati … Continue Reading Kwa kweli siasa za Zanzibar ni ‘pasua kichwa’
KATIKA mwezi wa Machi hali ya hewa jijini Accra, Ghana, huwa inaudhi bila ya kiasi kwa joto linavyokuwa kali. Jioni ndipo huzidi kushtadi. Nadra mvua kunyesha. Siku moja Machi 1958, … Continue Reading Nyerere alivyomtetea Karume Accra
ASALAAM alaykum wa RahmatuLlah wa Barakatuhu. Nina mawili matatu ninayotaka kusema kabla ya kuiingilia mada yetu. Kwanza, nawashukuruni kujumuika nasi kumkumbuka mwana wa Zanzibar, ambaye licha ya udhaifu wake na pengine … Continue Reading Maisha na nyakati za Abdulla Kassim Hanga
Historia ya Zanzibar itamkumbuka Amani Abeid Karume kama mmoja wa viongozi waliopigania maridhiano, umoja na demokrasia visiwani humo. Katika kitabu chake Conversation with Myself (Mazungumzo na Nafsi Yangu), aliyekuwa rais … Continue Reading CCM Zanzibar yapigana vita vya utengano dhidi ya maridhiano
“Kilele cha matumizi haya ya mabavu ya kijeshi ni Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana, ambako vibaraka wa Tanganyika katika Zanzibar walikataliwa kabisa na wananchi wa Zanzibar katika Uchaguzi wa Rais, … Continue Reading “Tanganyika inaidhibiti Zanzibar kijeshi na kisiasa”
Watanzania wanaadhimisha miaka 52 ya Muungano wao wa Tanganyika na Zanzibar. Hongera. Siku 104 nyuma kutoka sasa Watanzania pia waliadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwamba … Continue Reading Miaka 52 ya Muungano, mimi kama shahidi