Jedwali la Msimamo wa ligi ya EPL
Tottenham jana Septemba mosi imetoka sare ya 2-2 na Arsenal na hatimaye kuporomoka mpaka nafasi ya 9 katika msimamo wa EPL.
Jana, Leo na Kesho
Tottenham jana Septemba mosi imetoka sare ya 2-2 na Arsenal na hatimaye kuporomoka mpaka nafasi ya 9 katika msimamo wa EPL.
Sanamu ya mbao ya rais wa Marekani imejengwa katika nchi alikozaliwa mkewe ya Slovenia, iliibua maoni tofauti.
Hatimae Virgil van Dijk awabwaga Lionel Messi na Cristiano Ronaldo. Enzi za Cristiano Ronaldo na Lionel Messi za kutawala tuzo za mpira zinaendelea kusukumwa ukingoni.
Uefa leo Alhamisi inatarajiwa kumtangaza mchezaji bora wa mwaka wa soka Barani Ulaya .
Wabunge na wapinzani nchini Uengereza wanaopinga kuidhinishwa Brexit bila mpangilio wameghadhabiswa vikali na uamuzi wa Waziri Mkuu kusitisha bunge.
Malkia Elizabeth wa pili wa Uingereza amelikubali pendekezo la waziri mkuu Boris Johnson anaetaka bunge la nchi hiyo lifungwe kwa muda kuanzia kati kati ya mwezi unaokuja wa Septemba hadi … Continue Reading Waziri mkuu wa Uingereza aamua bunge lisitishe vikao kwa muda
Zaidi ya watu 100 jijini Dar es Salaam wameandamana mpaka ubalozi wa Afrika Kusini wakishinikiza kuachiwa kwa ndege ya Air Tanzania inayozuiliwa jijini Johannesburg.