Kwa nini Maridhiano na Umoja wa Kitaifa Zanzibar?
Hapa panaonekana pana undumilakuwili kutoka kwa wahafidhina wa Zanzibar wanaopinga maridhiano na umoja wa kitaifa visiwani mwetu. Kwa upande mmoja, hudai kwamba wao ndio wadumishaji wa umoja wa Wazanzibari, lakini … Continue Reading Kwa nini Maridhiano na Umoja wa Kitaifa Zanzibar?