Kuna vijana wengi tu ambao ni marafiki wakubwa hivi sasa wa kufa na kuzikana, lakini ukifuatilia historia za wazee wao, utakuta kuwa wazee hao walikuwa mahasimu wa kutukanana matusi ya … Continue Reading Hakuna Ugozi wala Uhizbu, bali Uzanzibari
HAPA pana upotoshaji na hila zinafanyika. Wiki iliyopita amenukuliwa Rais Benjamin Mkapa akisema kwamba hatawavumilia wanaotaka kujitangazia matokeo ya kura kabla ya kutangazwa na tume ya uchaguzi. Kwamba huo ni … Continue Reading Mkapa, huu ndio uhalali wa Wazanzibari kutumia nguvu ya umma
NAMNA akili zetu zilivyolemazwa kwa siku nyingi, tumefikishwa pahala ambapo tunaogopa hata kuizungumzia nafasi ya dini katika maisha yetu wenyewe. Wenye khatamu za ulimwengu na za nchi wametufanya tuone, na … Continue Reading Serikali, dini na maslahi ya kisiasa
TAARIFA iliyotolewa hivi karibuni na Tume ya Uchunguzi ya Kituo cha Katiba cha Afrika ya Mashariki inasema kuwa “Wazanzibari wana uzalendo wa hali ya juu na wanajivunia sana Uzanzibari wao… … Continue Reading Zanzibar ina wenyewe
BAINA ya Athens ya zama za Socrates na Zanzibar ya zama za Dira hapana tafauti kubwa sana. Ukitowa tafauti za kijiografia na kiwakati, kwamba Athens iko Ulaya na ni ya … Continue Reading SMZ funga mlango mmoja, utaikuta kumi i wazi!
TUNAKARIBIA kuadhimisha miaka 40 ya Mapinduzi ya Januari 1964 ya Zanzibar yaliyotanguliwa na uhuru wa Disemba 1963 uliodumu kwa mwezi mmoja. Kichwani mwangu nalikumbuka shairi The Beautiful Cesspool, ambalo, kama … Continue Reading Zanzibar: Not yet Uhuru?
SIKUSUDII hata kidogo kuifanya makala hii kuwa hati ya kihistoria kwa kuchelea kuwachosha wasomaji wangu. Lakini nina lengo la kukizungumzia kisibu kinachoelekea kumsibu Sheikh Ali Nabwa, kwa upande mmoja, na … Continue Reading Kuwaambia wakubwa ‘Hapana’ kuna gharama zake