Familia ya Mugabe kutokubaliana na serikali ya Zimbabwe juu ya mazishi ya Robert Mugabe
Familia ya Mugabe ambaye alifariki Singapore wiki iliyopita, na serikali ya Zimbabwe wamekuwa wakizozana juu ya mahali utakapozikwa mwili wake.
Jana, Leo na Kesho
Familia ya Mugabe ambaye alifariki Singapore wiki iliyopita, na serikali ya Zimbabwe wamekuwa wakizozana juu ya mahali utakapozikwa mwili wake.
Maoni mgawanyiko yaliyotolewa kumuhus Robert Mugabe alipokuwa hai, hayabadilika hata baada ya mauti yake . Wazimbabwe wanakumbuka kuhusu ni nini alichowaachia kiongozi huyo aliyeiongoza Zimbabwe kwa miaka 37.
Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe amefariki dunia akiwa na miaka 95 nchini Singapore akipokea matibabu kwa muda mrefu.
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli leo amekabidhiwa Uenyekiti wa nchi za jumuia ya maendeleo kusini mwa Afrika SADC. Magufuli amempokea Rais wa Namibia Dk.Hage Geingob alioutumikia wadhfa huo kwa … Continue Reading Rais Magufuli akabidhiwa Uenyekiti wa nchi za jumuiya ya SADC
Zipo sababu nyingi zilizomfanya Robert Mugabe ashinikizwe na jeshi na kisha chama chake kujiuzulu. Lakini sababu kubwa na ambayo chama chake ZANU-PF na hata Bunge, kiliiweka mbele ni suala la … Continue Reading Jinsi tawala za kifamilia zinavyouwa demokrasia Afrika