Mamia ya waandamanaji kushindikiza kuachiwa kwa ndege ya Air Tanzania
Zaidi ya watu 100 jijini Dar es Salaam wameandamana mpaka ubalozi wa Afrika Kusini wakishinikiza kuachiwa kwa ndege ya Air Tanzania inayozuiliwa jijini Johannesburg.
Jana, Leo na Kesho
Zaidi ya watu 100 jijini Dar es Salaam wameandamana mpaka ubalozi wa Afrika Kusini wakishinikiza kuachiwa kwa ndege ya Air Tanzania inayozuiliwa jijini Johannesburg.
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli leo amekabidhiwa Uenyekiti wa nchi za jumuia ya maendeleo kusini mwa Afrika SADC. Magufuli amempokea Rais wa Namibia Dk.Hage Geingob alioutumikia wadhfa huo kwa … Continue Reading Rais Magufuli akabidhiwa Uenyekiti wa nchi za jumuiya ya SADC
Rais John Pombe Magufuli na Cyril Ramaphosa wako Tanzania hii leo wametangaza kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kirafiki baina ya mataifa hayo mawili wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya … Continue Reading Tanzania na Afrika Kusini kuimarisha mahusiano ya kibiashara
Ajali ya mlipuko wa lori la mafuta mjini Morogoro inaendelea kugharimu maisha ya watu na hivi sasa waliofariki kutokana na mkasa huo wa jumamosi asubuhi wamefikia 89.
Rais wa zamani wa Marekani Ronald Reagan aliwaita tumbili wajumbe wa Afrika katika Umoja wa Mataifa UN mwaka 1971 wakati alipokuwa gavana wa Jimbo la California katika ukanda wa sauti … Continue Reading Mbona rais wa zamani Marekani aliwaita wajumbe wa Tanzania ‘tumbili’
Raisi John Magufuli ameweka jiwe la msingi kwenye mradi mkubwa wa kufua umeme katika mto Rufiji utakaozalisha umeme wa kilowati 2115
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli Kwa mara ya kwanza anasafiri kwa treni ya Shirika la TAZARA, kuelekea Rufiji.