Kwa kiasi gani Zanzibar ni muhanga wa historia?
Inasemwa kwamba mikwamo ya kisiasa na kisheria ambayo huikumba Zanzibar mara kwa mara ina mashiko yake kwenye historia ya visiwa hivi ya kabla ya 1964 na kwamba Wazanzibari wameshindwa kutoka … Continue Reading Kwa kiasi gani Zanzibar ni muhanga wa historia?