Rais Magufuli akabidhiwa Uenyekiti wa nchi za jumuiya ya SADC
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli leo amekabidhiwa Uenyekiti wa nchi za jumuia ya maendeleo kusini mwa Afrika SADC. Magufuli amempokea Rais wa Namibia Dk.Hage Geingob alioutumikia wadhfa huo kwa … Continue Reading Rais Magufuli akabidhiwa Uenyekiti wa nchi za jumuiya ya SADC