Kwa dhati kabisa, simuoni mgombea wa akina Polepole kuwa na uwezo wa kukabili changamoto hizo. Ndio maana inabidi kurudi kwa Polepole kumuomba awajibu Wazanzibari masuala ya msingi. Maana yeye anayejinadi kuwa ataleta maendeleo ndiye kikwazo cha mwanzo cha mgombea wao.
Waliokabidhiwa kadi hizo ni Asha Juma Mjaja, Laila Rashid Haji, Rashid Haji Juma, Kombo Said Kwale, Bakame Juma Mjaja, Rashid Ali Juma.
“LINI?” Ni swali nililojiuliza, mara kwa mara, tangu Januari 8 mwaka jana kila nilipomsikia Edward Lowassa akitajwa. Januari 8, 2018, ndiyo siku Lowassa alipopokewa rasmi Ikulu na Rais John Pombe Magufuli. Baadaye … Continue Reading JPM ameshinda walau kwa sasa
Imenichukuwa dakika tano tu hivi hadi kuwaza niandike nini kama sehemu ya zawadi kwa chama changu na marafiki zangu wa chama cha Mapinduzi CCM! Nimeona ni kheri kuandika kwa sababu … Continue Reading Happy Birthday CCM!
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amefichua siri kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, aliwahi kuwa mwanachama … Continue Reading Maalim Seif asema Mama Samia alikuwa mwanachama wa CUF
Chama cha Wananchi (CUF) kinaendelea kushuhudia kesi zake zilizo mahakamani zikisogezwa mbele kwa sababu moja ama nyengine, ambapo hivi leo wamepangiwa tarehe nyengine za mbele kusikilizwa madai yao. Kujuwa kilichojiri … Continue Reading CUF yaitaka Mahakama Kuu kuwarejesha wabunge 8 bungeni
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amefichua njama zilizopangwa kwenye tukio la uvamizi wa vyombo vya dola katika makao makuu ya chama chake yaliyopo Mtendeni, … Continue Reading Maalim Seif afichua siri za kuvamiwa Mtendeni