Kijana wa Kitanzania, Mpaluka Said Nyagali maarufu kwenye mitandao ya kijamii kama Mdude Nyagali, ameshinda kesi ya uchochezi dhidi yake na sasa anaitaka serikali kupitia vyombo vyake vilivyoshiriki kwenye mateso … Continue Reading Baada ya kushinda kesi ya uchochezi dhidi yake, sasa kijana wa Kitanzania aitaka serikali imuombe radhi
Mvulana wa Cambodia, Ouen Sambat, analichukulia joka hili linaloishi nyumbani mwao sio kama tu mnyama wa kufugwa, bali kama rafiki yake mpenzi mwenye jina la Chamerun, yaani bahati. Angalia vidio … Continue Reading Kutana na mtoto apendanaye na joka
Hii ndiyo hotuba kamili ya Mbunge Joseph Mbilinyi ambayo ilizua tafrani kwenye Bunge hapo jana kiasi cha Mwenyekiti wa Bunge hilo, Mbunge Mussa Zungu, kulazimisha kuwa kurasa 17 za hotuba … Continue Reading Nyundo za Sugu zilivyosugua bungeni
Mada kuu kwenye magazeti ya Tanzania hivi leo hotuba ya jana ya Msemaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (Habari, Utamaduni na Michezo) Mbunge Joseph Mbilinyi ambayo ililazimishwa na Mwenyekiti … Continue Reading Yasemavyo magazeti ya Tanzania 6 Mei 2017
Msemaji wa Kambi ya Upinzani Bungeni (Sheria na Katiba), Mbunge Tundu Lissu, amewasababisha wajumbe wa baraza la mawaziri wa serikali ya Rais John Magufuli kuchangiana kwenye kupambana naye bungeni, baada … Continue Reading Tundu Lissu ‘aitoa povu’ serikali bungeni
Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, amesema mahusiano ya kiutawala yaliyopo kati ya Tanganyika na Zanzibar yamekosa uwazi juu ya ni kipi hasa kilichopo – ama kama ni … Continue Reading Othman Masoud auanika Muungano
Bibi Suad Al Lamki, ambaye kwa sasa anaishi Oman, alikuwa jaji wa pili tu mwanamke kwenye Mahakama ya Tanzania baada ya uhuru. Mazungumzo yangu naye, ambayo yapo hapo kwenye vidio … Continue Reading Lulu ya Zanzibar: Bi Suad Al Lamki, mwanasheria mstaafu