Comments on: Kama Zanzibar si nchi, Karume Mkuu wa Mkoa?

By: ommykiss
ndugu yangu khamis hayo matatizo yaliotokea sudan mimi nataka kama sasa hivi yatokee lakini ni bora tukose sote tushachoka, kwa nini wafaidike wachache na wengi tubaki tukiteseka? tumechoka kudhulumiwa, tumechoka kuuliwa, tumechoka kusulubiwa, wazanzibari tuondowe mambo ya itikadi na tuungane kuikomboa nchi yetu.haya maneno sitaki hata kuyasikia sijui tanzania, sijui muungano tumechoka tena tumechoka, tuikomboe nchi yetu kwa manufaa yetu na vizazi vyetu

By: khamisi
asalam aleikum,haya mambo ya zanzibar naona kila tukirabu kujinasua  ndivyo wenzetu wa ccm wanavyozidi kukaza kamba  kwa nini kwa sababu wanaangalia zaidi maslahi yao binafsi.angalia mtu kama mohammed seif tulitegemea aitetee zanzibar lakini wapi kwa sababu anajua maslahi yake yako zaidi bara kuliko zanzibar.siyeye tu angalia salim ahmeid salim wakati akiwa waziri mkuu alisimamia kwa kila hali zanzibar isiwe na bendera yake wakati akijua fika hiyo bendera isingesaidia chochote lakini alfanya hivyo kujipendekeza kwa nyerere kwa kujua kwamba maslahi yake yako bara,kwa hivyo hizo kelele tunazopiga kila siku ni buretu wakati hao viongozi tunaowachagua wa ccm, ni wanafiki .lakini nahofia kizazi kijacho hakitakubali na hapo matatizo yanayotokea katika sudan huko dafur sina wasiwasi yatatokea hapa kwetu

By: mwamba mu1884@hotmail.com
aa, natumai kwa haya sina la kusema kwani huu ni ukweli mtupu ila kwa wenye itkadi za siasa atasema hii sio kweli ila kwa mtazamo wa kiukweli hii ndo ilivyo.hata rais wa jamhuri akienda zanzibar basi hana malaka kwani rais wa zanzibar ndo mas’uul wa nchi hiyo.HUU NDO UKWELI HALISI.HONGERA KWA KUSEMA UKWELI

By: saleh shaaban
I think it is a good points. keep on educating people.