jump to navigation

Uhakiki wa Kitabu cha Jumba Maro II December 11, 2007

Posted by Mohammed Khelef Ghassani in Culture.
add a comment


Kwa mara ya pili, Ally Saleh amenipa heshima ya kusema machache katika utambulisho wa kazi yake hii adhimu ya kifasihi, Jumba Maro. Mara ya mwanzo ilikuwa ni katika uzinduzi wa kitabu hiki uliofanyika Zanzibar tarehe 24 Septemba, 2005. (more…)

Uhakiki wa Kitabu cha Jumba Maro December 11, 2007

Posted by Mohammed Khelef Ghassani in Uncategorized.
add a comment

Huu ni uhakiki wa kitabu cha khadithi fupi fupi zilizotungwa na Ally Saleh ambapo hii inakuwa ni kazi yake ya pili baada ya ile ya mashairi huru iliyopewa jina la CHANGAMKA. Nimetakiwa niseme mawili matatu katika uzinduzi wa kazi hii adhimu ya Jumba Maro, ambayo ni maoni yangu kwamba imekuja wakati ndio na inazinduliwa pahala ndipo. Nimechagua kuzungumzia hadithi ya Msafiri inayopatikana katika ukurasa wa 10 wa kitabu hiki. (more…)

Zanzibar daima…jana, leo na kesho December 11, 2007

Posted by Mohammed Khelef Ghassani in Politics.
2 comments


Na Mohammed Ghassani

Nipo nje ya nyumbani kwa wiki moja na kitu sasa, lakini nafuatilia kwa karibu, kupitia mitandao, mambo yanavyoendelea kwetu. Nimeona kuwa kwa mara nyengine tena, Zanzibar imeonekana kwenye magazeti ya Tanganyika. Wenyewe, ukimtoa Mchungaji Christopher Mtikila na kaumu yake, hawataki waitwe Watanganyika. Wanajidai kwamba kuna Tanzania tu. Hata sherehe za jana za uhuru wa Disemba 9, wanaziita ni za uhuru wa Tanzania. Unafiki mtupu! (more…)

A Paradox? December 6, 2007

Posted by Mohammed Khelef Ghassani in Politics.
add a comment

I am proudly a Zanzibari… honestly speaking, I have never felt at ease under Tanzania flag…. Sometimes, I feel even more trapped between these two facts, double trapped: there is an official need for me to be identified as a Tanzanian. For example, I carry a Tanzanian passport and when it comes to a question of international gathering, I should fly Tanzania flag. Yet there is another fact that I have never accepted: ‘the occupation’ as for me  this  Union  is  perceived as a  symbol  of  occupation.under-occupation-flag.jpg

Köln Visit December 6, 2007

Posted by Mohammed Khelef Ghassani in Culture.
add a comment

…with the whole crew at Köln Cathedralthe-crew-at-koln.jpg