jump to navigation

Tume ya ‘Zitto’ ni kupapasa au kupotea njia? November 25, 2007

Posted by Mohammed Khelef Ghassani in Politics.
add a comment

Na Mohammed Ghassani

Baada ya kufuatilia taarifa na chambuzi mbali mbali kwenye vyombo vyetu vya habari kuhusiana na tendo la Rais Jakaya Kikwete kuunda tume ya kuangalia matatizo yaliyomo kwenye sekta ya madini na kumteua mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zuberi Zitto Kabwe, kuwa mjumbe wa kamati hiyo, nimegundua kuwa kuna angalau nadharia nne za kulielezea suala hili. Nitazielezea moja baada ya nyengine na kuonesha ile ambayo mimi ninasimamia.

(more…)

Mkapa kukosa tunzo ni heshima kwa Wazanzibari November 7, 2007

Posted by Mohammed Khelef Ghassani in Politics.
add a comment

Na Mohammed Ghassani

Hatimaye ile tunzo ya Rais Bora wa Afrika inayotolewa na tajiri wa Kisudani, Mohammed Ibrahim (Mo), imekwenda kwa Joachim Chissano, Rais Mstaafu wa Msumbiji, huku marais wengine wastaafu, akiwamo Benjamin William Mkapa wa Tanzania, wakiikosa. Labda sisi, Watanzania, tulitarajiwa tusikitike kwa kuwa kiongozi wetu ‘aliyetutumikia’ kwa miaka 10 mtawaliya amekosa tunzo hiyo adhimu, ambayo kama angeipata ingelikuwa pia heshima kwa taifa zima. (more…)