Kwa nini sikumuamini Rais Kikwete tangu mwanzoni August 14, 2007
Posted by Mohammed Khelef Ghassani in Politics.add a comment
Na Mohammed Ghassani
Nilikuwa Zanzibar wakati Rais Jakaya Kikwete alipotoa ile hotuba yake ya mwanzo Bungeni, mwishoni mwa mwezi Disemba 2005, ambapo miongoni mwa aliyoyasema ni kutambua kwake kuwepo kwa ‘mpasuko’ wa kisiasa wa Zanzibar, baina ya Pemba na Unguja na hasa baina ya Pemba na sehemu nyengine za Tanzania. (more…)