Kikwete, usiwe Mkapa mwengine kwa Zanzibar April 26, 2007
Posted by Mohammed Khelef Ghassani in Politics.add a comment
Na Mohammed Ghassani

Siku chache tu kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2005, nakumbuka, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, wakati huo akiwa mgombea uraisi wa Zanzibar kwa tiketi ya chama chake, alichapisha makala katika gazeti la The East African iliyoitwa “Zanzibar fair elections is Mkapa’s legacy”. (more…)
Mapinduzi halisi yanaanza sasa Zanzibar April 19, 2007
Posted by Mohammed Khelef Ghassani in Politics.add a comment
Na Mohammed Ghassani Kwa zaidi ya miaka 40 sasa, misingi halisi ya Mapinduzi ya Januari 12, 1964 imekuwa ikipotoshwa. Tangu hapo, kundi la watawala wasiojiamini na waliojazwa khofu zisizokuwa na msingi, limekuwa likitumia kutokujiamini kwake huko na khofu zake hizo kueneza agano potofu kwa kizazi cha Zanzibar. (more…)